Tuesday, July 22, 2014

Brand New Song: Huko Kwenu Vipi - Stamina feat Ney wa Mitego

Lengo kubwa katika ngoma hii ni kutuweka pamoja wasani, kusiwe na tabaka la bongo fleva hivi hiphop hivi wote tuwe kitu kimoja amesema Stamina.
huu ni mmoja kati ya mashairi yaliyoko katika wimbo huo .
Stamina " kwa kupost picha insta, hilo mnaongoza, utaskia mjengo wangu mpya kumbe umepanga mnajiongeza. naskia daily mpo gym eti mnatanua vifua, wakati mkirudi makweni wengi wenu mnajichubua
Nay wamitego: " Nyie mnajifanya mnakaza huku mnakufa na njaa, hakuna mnachopata zaidi ya sifa kwenye mitaa, kwanza mnatudhalilish akutwa mnatupiga vizinga, umerekani mwingi mpaka mnakula unga"

James Rodriguez to Real Madrid: Would Colombian star fit in with Cristiano Ronaldo and Gareth Bale?

James Rodriguez has arrived in Madrid and looks like he will complete a blockbuster €90m (£71m) move to defending champions Real Madrid in the near future. But is it the right move for Los Blancos?
READ MORE: JAMES RODRIGUEZ LANDS IN MADRID AHEAD OF £71m MOVE
Last season Real Madrid won their tenth European trophy, La Decima, and also added the Copa del Rey. But they fell short in La Liga, with Diego Simeone's Atletico Madrid working and stifling their way to a first title in 18 years.
Though Lionel Messi eventually won the World Cup Golden Ball, Rodriguez was probably the tournament's best player, leading a Colombia missing Radamel Falcao to the quarter-finals with six goals and two assists.
His performances captured the attention of the world and after a solid, if unspectacular season at Monaco, he was being touted for a blockbuster move to Real Madrid or Barcelona.

sergio ramos beki bora la liga

ramos akifurahia ushindi  uefa champion baada ya kuifunga atletco madrid

Thursday, July 10, 2014

 niaje mandugu  baada ya mfungo kuishaa tutaendelea na kilinge kama kenya mdau mpyaaa kama unajua michano nicheki 0659123538 chunda bad singa singa mpalestina east nako president no kubana pua ni hip hop tu mia pam oja